@juliana_starlook
Zingatia!!!! Nguo zetu sio yebo yebo Dress heavy cotton material
Zinaficha kitambi. Wale mnaogopa kuvaa pensel kwasabu ya kitambi hii quo inawafaa sana
Tsh.35,000
M-XXXL
Ina rangi tano
V karibuni sana ujanja kuwahi jamani nguo hazikai dukani zinaisha fasta ukiipenda lipia tunakuwekea
Mawasiliano:0682238321
Tupo kariakoo mtaa wa narung’ombe na Kongo jengo la
Mandela JR pandisha ngazi #vigauni# #nguozakike#
14 December 2023 •