@juliana_starlook
Zingatia hii kwamba Nguo zetu sio yebo yebo!!
Sisi ni wauzaji wa nguo za kike aina zote za kipekee,zenye
ubora na bei zetu ni rafiki kwa kila mtu. Pia tunatoa ushauri
wa mpangilio wa mavazi kutokana na muonekano wako na
mwili wako, ushauri tunatoa bure kabisa
Pia tunatoa Huduma za sare kwa vikundi mbali mbali Kama
kwaya, wafanyakazi, vicoba, nk. Njoo tujadiliane, tushauriane
na tukubaliane mpate sare itakayofanikisha shughuli Au tukio
Lenu. Kumbuka!!! Sare hata ikiwa pice 1000 zinapatika kwa
wakati kabisa.
Tupo kariakoo mtaa wa narung’ombe na Kongo jengo la
mandela JR pandisha ngazi ulizia kwa dada Juliana Au piga
simu 0682238321
Kwa nguo nzuri za kisasa follow page yetu @juliana_starlook
@juliana_starlook @juliana_starlook
Uendelee kuiionea vitu Vizuri Kutoka kwetu
#vigauni# #nguozakike#
KARIBUNI SANA MTEJA KWETU NI MFALME