@pendokids
Chinese no Moja ya Nchi inatengeneza vitu Original
Na Tena nikukumbeshe you better buy product iloandikwa kichina kuliko Bidhaa iloandikwa English😀😀😀😀😀 Utalia
Japo si zote
Nchi Za Ulaya wanafanya Production zao from CHINA
Hii Dove scrub nmenunua china yaaan ni nzuri mpaka nzuri tena 🥰🥰🥰🥰🥰
😇What am I trying to say,,,tusipende kukaririshwa kua vitu from china ni Fake vyote
Jibu ni HAPANA,,,Do ur Research kabla mtu yeyote hajakulisha matango Pori🤓🤓🤓🤓😝😝😝😝😝