@pendokids
St.Ives Shower Geliππππ
Aiseeee na leo ni Ijumaaa,,,siku ya kuoga vizuri na kunukoa vizur!!!!Kwan wewe weekendiiiiiii yako hua unaitumiajeππππ
Me moja kati ya vitu nafanya ni kuoga narudia tena KUOGAAAAAA,,,lazima nisugue mwili bhnaaaaa
Hii shower geli ni nzuri sana na kama una dry skin shoo hii usikose
πInanukia vizuri sana
π
Iko dukani
Bei: 20,000