@juliana_starlook
Unaendaje Kazini na nguo ya kitenge Wewe hauoni aibu??? Hii gauni inakufaaa Kuendea ofisini Chukua hata kama hauna ofisi iweke ndani tu isubiri upate ofisi😝😝 hata kanisani pia unavaa/ Kwenye sherehe
nzuri saaana utapata kwa elfu 35 tu material nzito
Size XL XXL XXXL
Zipo Kwenye ofa
Ujanja kuwahi Tupo kariakoo mtaa wa narung’ombe na congo Jengo limeandikwa Mandela jr pandisha ngazi
0682238321 #nguozakike #vigauni #gauni