takeer.com

Takeer

Takeer - Fresh feeder  kwaajili ya kumuwekea tunda mtoto ni nzuri kabisa ipo dukani

  Hii unaweka tunda kama , Nanasi, Embe, Tikiti na matunda mengine mtot...
takeer.com
@babybrandstore
Fresh feeder kwaajili ya kumuwekea tunda mtoto ni nzuri kabisa ipo dukani

Hii unaweka tunda kama , Nanasi, Embe, Tikiti na matunda mengine mtoto anapata Fresh juice kupitia Fresh feeder

Pia tunauza mahitaji muhumu ya mtoto kama

* wipes
* mafuta ya watoto kuanzia wachanga na wote wenye tatizo la pumu ya ngozi suluuu ipo kwetu
* diapers kuanzia wachanga sehemu ya kitovu imekatwa haigusi kitovu na zipo diaper mpaka 15kg+
* maziwa ya formula
* Toys
* viatu vya shule kike
* vest nyeupe
* vyombo vya kulia chakula wakianza kula
* chupa za maziwa,
• steriliser kuua vijidudu kwenye vyombo vya mtoto
• warmer kupashia maziwa ya mtoto na vyakula

Location;Tupo KINONDONI MANYANYA njia ya kuelekea makaburini pembeni ya American chips

Tupo wazi Kila siku na sikuuuuuuuuuuu kuanzia saa mbili kamili asubuhi mpaka saa mbili kamili usiku

Mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja na Dar es salaam tunafanya delivery

@babybrandstore
@babybrandstore
@babybrandstore

Please contact #+255757938527
#+255757938527
#+255757938527
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com