@evardontz
Shockproof Camera Backpack đď¸
BEI: Tshs 140,000/=
SIFA:
â
Inafaa kwa matumizi ya kubebea Proffessional camera au kusafiria.
â
Unaweza kutoa camera cubes na ukabeba nguo nyingi kwa ajili ya safari.
â
Material yake ni Oxford.
â
Size yake ni 31Ă22Ă48cm
â
Haipitishi maji(Waterproof)
â
Main compartment ina camera cubes ambazo zinasaidia kuhifadhi camera yako na zoom rings kwa usalama.
â
Front compartment ina mfuko mitano ambayo unaweza kuhifadhi baadhi ya vitu.
â
Inaigia laptop yenye ukubwa wa inch 13 - 16.5
â
Ipo sehemu ya kuhifadhi tablet.
â
Tripod Strap ipo pembeni.
â
Mfuko mdogo pembeni wa kuhifadhi chupa ya maji.
Call/WhatsAppâĄď¸0693007945/ 0754894045
Follow us âŞ@evardontz