@evardontz
Shockproof Camera Backpack
RANGI: Nyeusi
BEI: Tshs 150,000/=
SIFA:
✅Inafaa kwa matumizi ya kubebea Proffessional camera au kusafiria.
✅Unaweza kutoa camera cubes na ukabeba nguo nyingi kwa ajili ya safari.
✅Material yake ni Oxford.
✅Size yake ni 31×22×48cm
✅Haipitishi au haingii maji(Waterproof)
✅Main compartment ina camera cubes ambazo zinasaidia kuhifadhi camera yako na zoom rings kwa usalama.
✅Front compartment ina mfuko mitano ambayo unaweza kuhifadhi baadhi ya vitu.
✅Inaigia laptop yenye ukubwa wa inch 17
✅Ipo sehemu ya kuhifadhi tablet.
✅Tripod Strap ipo pembeni.
✅Mfuko mdogo pembeni wa kuhifadhi chupa ya maji.
Call/WhatsApp➡️0693007945/ 0754894045
Follow us ↪@evardontz