Takeer
Mute
@juliana_starlook
Mchawi pasi tu hapo jamani gauni nzuri sana la heshima hili nzuri saaana. Material yake Sasa very Quality Kama uwiii love ndo nzuri zaidi
Size L XL XXL XXXL
Tsh 35000 tu bei kitonga kabisaa
Ujanja kuwahi zipo chache na watu wanasomba