@dotcommachinery
🔥Mashine jiwe ya kazi🔥
LUTIAN PRESSURE WASHER PSI3600
Mashine hii ni ya kisasa zaidi ya kuoshea magari makubwa na madogo. Mashine ni madhubuti sana inadumu sana na inatumia umeme wakawaida(220V 5HP) na uzuri wake zaidi spare zake zote zipo dukani, karibuni sana.
✅ Bei yake 2,100,000/=
✅ MIKOANI KOTE TUNATUMA KWA USALAMA NA UHAKIKA
Call / Whatsapp
0679 121111
www.dotcomachinery.co.tz
______________________________________________________
Junction of Morogoro road & India street.