@dotcommachinery
Mashine jiwe ya kazi🔥
LUTIAN PRESSURE WASHER PSI3200
Mashine hii ni ya kisasa zaidi ya kuoshea magari makubwa na madogo. Mashine ni madhubuti sana inadumu sana na inatumia PETROL na uzuri wake zaidi spare zake zote zipo dukani, karibuni sana.
✅ Bei Ya OFFER NI 700,000/=
✅ MIKOANI KOTE TUNATUMA KWA USALAMA NA UHAKIKA
Call / Whatsapp
0679121111
www.dotcomachinery.co.tz
______________________________________________________
Junction of Morogoro road & India street,
Dar es Salaam.