@max1_limited
Choo cha kuchuchumaa na flush tank yake vyote vinapatikana hapa Max One. Karibu ujipatie bidhaa bora na za kisasa.
Tupo Kariakoo, Gerezani mtaa wa Kiungani na Congo, kwenye bango kubwa limeandikwa MAX ONE LIMITED.
Tupigie au tutumie ujumbe kupitia WhatsApp kwa namba 0658 313 332 au 0628 552 442.
Follow page yetu πππ@max1_limited @max1_limited.