@max1_limited
Basin nzuri za kunawia mikono zinazochomwa katika nyuzi joto za juu zina ubora wa juu na hudumu kwa muda mrefu.
Unaweza kupata aina hii ya basin hapa Max One, iliyopo Kariakoo, Gerezani mtaa wa Kiungani na Congo.
Kwa mawasiliano zaidi, piga simu au tuma ujumbe wa WhatsApp kwa namba 0658313332 au 0628552442.
@max1_limited @max1_limited