@iki_kitchenware
VIBOKO VYA JOTO VIMEFIKA TENA KWA MARA NYINGINE
TOWER FAN INCH 36
TSH 175,000/= .
Remote control ,
Timer yake ni masaa 12 ,
ina modes 3 za upepo ,
Normal mode , Nature mode ( Bleez ) , Sleep mode , inazunguka nyuzi 90β°,
ina filter nzuri za kuchuja hewa
hivyo haziumizi kifua wala kuleta mafua .
AIRCOOLER BRAND YA ANKO KUTOKA AUSTRALIA
TSH 320,000/=
-Inatumia Maji Kupuliza Upepo Wa Baridi
-tank lita 10
-Watt 65
-Urefu 85cm
-Ina remote
-Ina Timer Unaweza Set Muda Wa Kujizima
-Touch screen
-Ina level 3 za upepo
-Inamatairi