@max1_limited
Max One Limited inakuletea LED Mirror β kioo cha kisasa chenye mwanga wa LED kwa mwonekano bora na wa kuvutia!
Size 70x50
π‘ Faida za LED Mirror:
β’ Hutoa mwanga wa kutosha kwa shughuli zako za kila siku kama kujipamba au kunyoa.
β’ Ina muundo wa kisasa na maridadi unaoendana na mitindo mbalimbali ya mapambo ya bafu.
π Tembelea showroom yetu iliyopo Kariakoo, Gerezani mtaa wa Kiungani na Congo, au wasiliana nasi kupitia piga/WhatsApp 0658313332. Delivery ipo popote tunakufikia
Tunathibitisha ubora na utendaji kazi wake wa hali ya juu!
#MaxOneLimited #LEDMirror #UboraNaUimara #BafuLaKisasa