@kitengo1_hardware
💪 ubora wa extension cable upo kwenye wire
Japo nyingi zake Bora ni 1.5mm , bhasi
Ikiwa 1.5mm inafaa Kwa matumizi mengi ya
Nyumbani.
💡Ni asilimia 100 kuwa ni copper ili kufanya
Isipige short kiurahisi
💰 Gharama zake ni ndogo ili kumudu mteja
Na ikufanye uweze kupata faida haraka Kwa
Wewe muuzaji.
📏 Tunazo za njia 4 , njia 5 na njia 6. Pia za USB
Kwa wale wanaocharge simu zao
🤳 Simu moja , 0733700337, tunakuletea Dar Es Salaam
Na Pwani, mkoani tunafikishia Kwa wakala usafirishaji