@the_best_kitchen_part
OFFA OFFA YA MWAKA MPYA
Hizi ni cover za magari ambazo zimetengenezwa kwa material mazuri ili utakapo funika gari yako basi isiathiriwe na mikwaruzo , Vumbi, Mionzi ya jua , Mvua , uchafu kutoka kwa ndege wa angani .
#FAIDA ZAKE _ . Zina uwezo wa kuzuia mioz Mikali ya jua ili isipaushe rangi ya gari yako .
.Huzuia vumbi lisiingie kwenye pembezoni za kioo cha gari yako . Huweza kulinda gari dhidi ya kunyeshewa na mvua .
#UWEZO WAKE _ Cover hizi ni Univasal kwa maana kwamba zinaingiliana kwa gari zote za miundo midogo ukiacha bus / coster.
Bei yake ni Tsh 170,000/=
Toa oda yako
✅ Whatsapp no
#0682392793