@breastpumptz
Nipple Cream
Price : 40,000/-
Nipple Cream ina faida nyingi hasa kwa akina mama wanaonyonyesha
1. Nipple Cream husaidia kuweka ngozi ikiwa na unyevu na kuzuia ukavu na mipasuko.
2. Inasaidia uponyaji wa haraka wa chuchu zilizo na maumivu au zilizoharibika, mara nyingi kutokana na kunyonyesha.
3. Hii ni 100% cream ya asili na ni salama na hazina madhara kwa watoto wakati wa kunyonyesha.
4. Endapo chuchu Yako Imepasuka ama kuvimba, Hii Cream Itasaidia Kuondosha Hayo.
Tunapatikana Kariakoo, Lumumba na Morogoro road.
Call/WhatsApp: +255 653 661 111.
#breastpumptz #breastpump #wearablebreastpump #portablebreastpump #momcozy #lactationmassager #momcozybabymonitor #breastpads #storagebags #wirelessbreastpump #Bottlewarmer #portablebottlewarmer #S12pro #M5Latest #M5 #momcozyS12pro #momcozyM5 #kariakoo #maternity #nipplecream