@nare_hardware
Msimu wa mvua tuna waletea gutter kwa bei nafuu, pamoja na fitting zake.
Za round na squre zote zinapatikana dukani.
Piga simu: 0673313101.
Tupo kariakoo mtaa wa livingstone na kiungani.
Tunafanya delivery kwa dar es salaam mikoani pia tuna tuma .
Karibuni sana😇