@mtumba_slaying_kids
Msimu huu wa sikukuu tuna nguo taaamuu kwa ajili ya watoto wetu. Karibuni sana tuwapendezeshe watoto wetu kwa bei rafiki. Tutumie msg DM au tu-Whatsapp kwenye 0718252940. Tupo Sakina, Arusha na tunafanya delivery ndani ya Arusha na kutuma kokote kwa uaminifu mkubwa sana. Karibuni sana!