@oil_linktz
Wenzhou Ecotec Energy
Ni wabobezi katika uzalishaji wa vifaa vyote vinavyo husika na kituo cha mafuta.
▪️Tupo katika nafasi ya kukupatia fuel dispenser zenye ushindani mkubwa sokoni na pia Electronic Controller zilizo bora kabisa.
▪️Bidhaa zetu kwa asilimia mia moja zimepimwa pindi zilipo kuwa kiwandani kabla ya kusafirishwa kwenda sokoni.
▪️Ecotec inatumia muda wake mwingi katika uzalishaji wa Electronic Controller kwa kuchagua malighafi bora zaidi na kupima kila kifaa kabla ya matumizi.
▪️Ecotec wanatoa warranty ya mwaka mmoja kwa Motor, Flow Meter, Pump na miaka miwili kwa Electronic Controller.
MTEJA KWANZA, KUJITOLEA, UBUNIFU, NA HUDUMA NZURI NDIO MSIMAMO WETU.
◾ WhatsApp no. 0764 656666
@oil_linktz