Takeer
Mute
@leymar_tz_urembo
All you gat to do is to breatheeee🔥🔥🔥
Habari wapendwa wetu,
Tuna mzigo mpya wa sets za cheni an heren pearls n stones☑️
Zinapatikana kwa bei za jumla na reja reja.
Soon tutawapostia picha pamoja na bei zake🙏🏾🙏🏾
Karibuni sana 🙏🏾