takeer.com

Takeer

Takeer - Heri ya Sikukuu ya Nane Nane kwa wakulima wote! Tunawashukuru kwa juhudi zenu na tunawatakia mafanikio tele katika kila jambo mnalolifanya. Hii ni ...
takeer.com
@comadretz_tools
Heri ya Sikukuu ya Nane Nane kwa wakulima wote! Tunawashukuru kwa juhudi zenu na tunawatakia mafanikio tele katika kila jambo mnalolifanya. Hii ni siku ya kuwatambua na kuwapongeza kwa kazi ngumu mnayofanya ili kuhakikisha taifa letu linaendelea kuwa na chakula na maendeleo. 💪 Twende mbele kwa pamoja!
.
.
Happy Nane Nane holiday to all farmers! We appreciate your efforts and wish you abundant success in everything you do. This is a day to recognize and congratulate you for the hard work you do to ensure our nation continues to have food and progress. 💪 Let’s move forward together!

#mkulima #tanzania #dodoma #maendeleo #farmer
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com