@samai_machinery
FURSA FURSA FURSA π¨π¨π¨
Tanzania ni miongoni mwa Taifa linalokua kwa Kasi zaidi Barani Africa hivyo hupelekea kila siku miundombinu mipya kujengwa na Taasisi mbalimbali kujikita kwenye maswala ya Ujenzi pia sehemu mbalimbali zisizokua na makazi zimeanza kufikiwa na raia wake hivyo imepelekea biashara ya ujenzi kufunguka kwa kasi zaidi kwa kuwasogezea huduma wahitaji wake kwa ukaribu sana.
SAMAI AGRO Tumekuletea mashine ya kufyatua Tofali za Block pamoja na Mashine ya kuchanganya saruji na mchanga.
MASHINE YA UMEME YA KUFYATUA TOFALI. (VIBRATOR BLOCK MACHINE)
Nguvu ya mota: 4Hp
Bei: 3,000,000.
MASHINE YA KUCHANGANYA SARUJI NA MCHANGA.(MIXER)
KIPENYO: FUTI 5
UREFU WA MASHINE: 4.5 FUTI
PLATE: 10mm (chini), 6mm (Juu)
NGUVU YA MOTA: 7/ 10HP
BEI : 5,000,000.
SIMU/ WHATSAPP: 0746498349
SEHEMU: TABATA DAMPO, DSM
#dar #pwani #bagamoyo #kibaha #kiluvya #kiluvyamadukani #chalinze #morogoro #arushatanzania #dodoma #mikumi #kitonga #pangani #mkata #iringampya #njombe #makambako #mafinga #mbeya #songea #ruvuma #geita #mtwara #lindi #shinyanga #kahama #mwanzamwanza