takeer.com

Takeer

Takeer - MASHINE YA KUCHANGANYA SARUJI (CEMENT) NA MCHANGA.(MIXER) 

N:B MASHINE HII PIA INA UWEZO WA KUTUMIKA KUCHANGANYA MALIGHAFI MBALIMBALI KWAAJILI YA ...
takeer.com
@samai_machinery
MASHINE YA KUCHANGANYA SARUJI (CEMENT) NA MCHANGA.(MIXER)

N:B MASHINE HII PIA INA UWEZO WA KUTUMIKA KUCHANGANYA MALIGHAFI MBALIMBALI KWAAJILI YA KUTENGENEZA MKAA MBADALA.

KIPENYO: FUTI 4
UREFU WA MASHINE: 4.5 FUTI
PLATE: 8mm (chini), 6mm (Juu)
NGUVU YA MOTA: 10HP
BEI : 4,000,000.

MASHINE YA UMEME YA KUFYATUA TOFALI. (VIBRATOR BLOCK MACHINE)
Nguvu ya mota: 4Hp
Bei: 3,000,000. ( UNACHAGUA MOULD MOJA UNAYOHITAJI KAMA NI INCH 4,5 au 6 ) NA MOULD NYINGINE BEI YAKE NI: 400,000.

N:B HAPO UTABAKISHA VIFAA VYA UMEME NA WIRING YAKE KUWEZESHA MASHINE KUANZA KAZI.

📞|SIMU/WHATSAPP: 0746498349
📍|SEHEMU: TABATA DAMPO, DSM

FURSA FURSA FURSA 🚨🚨🚨⬇️⬇️⬇️
Tanzania ni miongoni mwa Taifa linalokua kwa Kasi zaidi Barani Africa hivyo hupelekea kila siku miundombinu na Makazi mapya kujengwa na Taasisi mbalimbali zilizokua za serikali na Binafsi kujikita kwenye maswala ya Ujenzi pia sehemu mbalimbali zisizokua na makazi zimeanza kufikiwa na raia wake hivyo imepelekea biashara ya ujenzi kufunguka kwa kasi zaidi kwa kuwasogezea huduma ya uuzaji wa Tofali za Block wahitaji wake kwa ukaribu sana.

#dar #mbezi #tegeta #kiluvya #bagamoyo #kibaha #morogoro #iringampya #makambako #njombe #songea #mbeya #lindi #mtwara #geita #mwanzamwanza #dodoma #kahama #shinyanga #tabora #chunya #mixer #tofali #tofalizablock #sido #efm #ikulumawasiliano #tirdo
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play