@kitengo1_hardware
Tukape nafasi tukuhudumie
Wewe mwenye duka tayari
Wewe unawazo la kufungua duka
Tutakuelimisha Nini uweke na kipi ni
Muhimu kulingana na mtaji wako
Wewe mwenye site au fundi
Tutakupa kilichobora Kwa
Bei halisi tena Kwa kukufikishia uwanja
Wako wa ujenz Kwa wakati
Hatujali idadi ya bidhaa unayotaka bhali
Kukuhudumia Kwa kiasi Chako
Tupigie 0756238922 / 0733700337
Mkoani tunafikisha Kwa wakala usafirishaji
Dar na pwani tunakufikishia dukani au site Yako buree