takeer.com

Takeer

Takeer - MASHINE YA KUSAGIA VITU VYA PLASTIKI KAMA
VILE CHUPA, NDOO, MADUMU, BESENI NAKADHARIKA.

( HEAVY DUTY WASTE CRUSHER
MACHINE )
UWEZO: 300kg/SAA
NGUV...
takeer.com
@samai_machinery
MASHINE YA KUSAGIA VITU VYA PLASTIKI KAMA
VILE CHUPA, NDOO, MADUMU, BESENI NAKADHARIKA.

( HEAVY DUTY WASTE CRUSHER
MACHINE )
UWEZO: 300kg/SAA
NGUVU YA MOTA: 30HP
BEI: 7M

Tanzania ni Miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri sana katika kutunza mazingira yake hii imetokana na kuandaliwa kwa programu na vyama mbalimbali vya kuelimisha, Kujitoa na Kuthamini umuhimu wa taka chafu katika mazingira chini ya @nemctanzania @selemani_jafo @onwm_tanzania

JE NI UMUHIMU GANI UNATOKANA NA KUCHAKATA TENA TAKA CHAFU?? ( WASTE RECYCLE ) ♻️♻️♻️

1. Taka Chafu imeleta tasnia mpya ya sanaa katika utengenezaji wa urembo mbalimbali katika majengo, beach na fukwe mbalimbali hii imesababisha muonekano kua mzuri wa mazingira yetu.

2. Taka Chafu zimepelekea utengenezaji wa furniture kama vile Viti, Meza na kadhalika.

3. Taka chafu hutumika Kutengeneza Mbao za aina mbali mbali hii imesaidia katika ujenzi wa majengo kua ya kisasa na yenye muonekano mzuri zaidi bila kuoza na pia hutumika kama nguzo imara za kujengea electric fences zisizo oza.

4. Taka chafu imepelekea kuongezeka kwa viwanda vidogo vidogo na vya kati ndani ya nchi hii imeleta matokeo chanya kwa kuongezeka kwa bidhaa na ajira kwa wa Tanzania.

#plastic #plasticmachine #plasticmachinery #waste #wastedisposal #plasticdisposal #wasterecycling #onwn #mazingira #plasticextrudermachine #wasafi #clouds #efm #tbc #millardayo #zanzibar #pemba #mozambique🇲🇿
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com