takeer.com

Takeer

Takeer - NEW PRODUCTS ALERT ⚠️ NEW PRODUCTS  ALERT ⚠️ 📢 😍 

DEAR ANUA PRODUCTS  LOVERS ...USIPITWE ✨️ 😍 

 TUMEWALETEA PRODUCTS ZOTE PENDWA NA EFFECTIVE ...
takeer.com
@koreanbeauty_tz
NEW PRODUCTS ALERT ⚠️ NEW PRODUCTS ALERT ⚠️ 📢 😍

DEAR ANUA PRODUCTS LOVERS ...USIPITWE ✨️ 😍

@KOREANBEAUTY_TZ TUMEWALETEA PRODUCTS ZOTE PENDWA NA EFFECTIVE ZA ANUA.

=ANUA NIACINAMIDE SERUM 80,000

NI SERUM NZURI INAYOLETA MATOKEO MAZURI YA KUIPA NGOZI NURU..NA KUONDOA MADOA AU HYPERPIGMENTATION
KEY INGREDIENTS NIACINAMIDE 10%
TRANEXAMIC ACID 4%

=ANUA PEACH 77 NIACIN ESSENCE TONER..70,000
250 ML.

KEY INGREDIENTS
PANTHENOL, CERAMIDE, NIACINAMIDE
NI TONER YENYE KUSAIDIA KUIMALIZA MOISTURE BARRIER YA NGOZI
KUIPA NGOZI NURU
KUONDOA HYPERPIGMENTATION
KUFANYA GLOWING YA NGOZI

=ANUA 2%BHA GENTLE EXFOLIATING TONER. 70,000

HII NI MILD EXFOLIATING TONER INAYOFANYA KAZI YA KUONDOA DEAD SKIN CELL..INA UNCLOG THE PORES NA INA REDUCE EXCESS OIL PRODUCTUON AT THE SAME TIME INAFANYA NGOZI IWE MOIST HYDRATED NI EXFOLIATOR NZURI SANA KWA SENSITIVE SKIN PIA.
KEY INGREDIENTS
2% BHA SALICYLIC ACID
6 TYPES OF CERAMIDE
PANTHENOL
TEA TREE

=ANUA HEARTLEAF 70 DAILY LOTION. 70,000

HII NI SOOTHING FACE LOTION INAFANYA KAZI YA KUONDOA IRRITATION YA NGOZI.
NZURI KWA DRY SENSITIVE SKIN .INA SAIDIA KUIFANYA NGOZI IWE MORE HYDRATED ALL DAY LONG

=ANUA HEARTLEAF CLEAR PADS...65,000
HII NI ALL IN ONE GENTLE EXFOLIATING PAD.
KAZI YAKE KUBWA NI KU EXFOLIATE DEAD SKIN CELLS AND KUONDOA BLACKHEADS NA WHITEHEADS KWENYE NGOZI.
INAFANYA EXFOLIATION AT THE SAME TIME INAPUNGUZA IRRITATION YA NGOZI.

=ANUA HEARTLEAF INTENSE CALMING CREAM..65,000
NI NZURI KWA NGOZI ZILIZO VERY SENSITIVE.
INATIBU CHUNUSI NA KUONDOA SENSITIVE YA NGOZI.

PRODUCTS ZOTE ZINAPATIKANA DUKANI KWETU.
SINZA MORI KITAMBAA CHEUPE...ZINGATIA LOCATION NI SINZA MORI KITAMBAA CHEUPE

TUPIGIE 0711 612 370.
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play