@kitengo1_hardware
Wajua uzuri wa welding stick za kuchomea?
Kuwa ni
@ urahisi kushika moto
@kutotoa Moshi mwingi wakati wa kuchomea
@ kuwahi kuchoma hata chuma ikiwa laini
Hizi ni maars welding sticks
No 10 20kg tsh 62000
No 12 20kg tsh 66000
Tunakufikishia dukani kwako Dar es salaam
Mkoani tunakufikishia Kwa wakala usafirishaji
Tuna bidhaa nyingine kama disk, square pipe, black pipe
Tupigie au what up 0756238922, 0733700337