@machinestanzania
Simu au Whatsapp ✅0785471806 , hili ni welding generator linatumia diesel lina uwezo wa 6.5kva na 200amps, litaweza kukusaidia kufanya shughuli za welding hata kama umeme ukikatika Ukiwa na generator hii huitaji welding machine, Pia generator hii inaweza kukusaidia kufanya matumizi Mengine ya umeme ya kawaida kama kuwasha taa , friji , AC water pump na kadhalika
🔵2,900,000/= (Welding generator 6kva)
#welding #weldingmachine #weldinggenerator #machinery #machinestanzania #mashine #machines #generator #dieselgenerator #