@mtumba_slaying_kids
Karibuni sana kwenye page yetu kujipatia nguo za watoto nzuri mnooo.. Ukinunua kwetu nguo quality yake ni nzuri sana hutakaa ujutie. Tunapatikana Sinza Lion kituoni opposite na Suti Bega na pia kwa watu wa Dar delivery ipo na kwa wa mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana. Tupigie au tucheki Whatsapp kupitia 0718252940 au 0752885013.