takeer.com

Takeer

Takeer - Dear Korean Beauty family, leo napenda kutambulisha sabuni hii nzuri sana na lotion yake ambazo kwa kweli ni nzuri sana kupita maelezo. Set hii ina...
takeer.com
@koreanbeauty_tz
Dear Korean Beauty family, leo napenda kutambulisha sabuni hii nzuri sana na lotion yake ambazo kwa kweli ni nzuri sana kupita maelezo. Set hii inaweza kutumika kwa umri wowote kuanzia mwaka mmoja na hadi watu wazima. Sabuni ina harufu tulivu, Soft sana mwilini na kuuacha mwili ukiwa fresh kabisa. Set hii itafanya ngozi iwe na unyevu nyevu wa kutosha siku nzima, na ina uwezo wa ku repair damaged skin barrier kwa muda mfupi sana. Try it and thank me later 🙏🏾

BODY WASH : 500ML / LOTION 350ML.

Bei ni 55,000 Each/ Set utapata kwa 100,000/= TZS tu.
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play