@kitengo1_hardware
Gypsum board LAKE
Board ngumu na yenye mkandamizo imara kuhimili
Mazingira yoyote
Board yenye karatasi ngumu isiopenyeza unyevu na
Maji
Board isiyoruhusu kupita Kwa moto pindi hitalafu
Ikitokea
Board isiyovunjika kirahis hata ukibeba Moja kama
Inavyoonekana Kona zake zimenyooka
Board yenye size ya futi 8 Kwa 4 kamili kufanya
Kutumia chache kwenye ujenz wako
Nunua kwetu tukuletee Dar es salaam na pwani buree,
Tena upate na bidhaa nyingine nyingi Kwa pamoja
Mbao, mabati ya rangi na kawaida na mfumo wa maji Yako.
0757238922 / 0733700337