@kitengo1_hardware
CONDUIT pipe
3/4 na 1" ngumu na nyepes
Ngumu za LESSO 3/4" tsh 80000 (50pc)
Ni nzito za kukunjika hizo za lesso
Za tsh 36000 ni nzuri hazipasuki
Tunakufikishia mpaka dukani kwako au site Yako
Mkoani tunakufikishia Kwa wakala usafirishaji
Tupigie au what's up 0756238922, 0733700337