@ob_mitumba_store_
HABARI NDUGU WATEJA
Napenda kuwataarifu kuwa duka lipo wazi na mizigo ipo ya kutosha KARIBUNI SANA mjipatie mali safi na zenye ubora na bei nafuu
-
Tupo 📍 ILALA BOMA SOKONI , KARIBU NA SHELI YA PUMA
#NAWAPENDA SANA KARIBUNI na DELIVERY TUMEANZA🚛🚚
Call | sms | whatsApp
☎️0654465202