takeer.com

Takeer

Takeer - Hongera mpendwa wangu.Najua haikuwa rahisi nafahamu haijawa nyepesi ni kwamba ulipambana kuwa hvyo ulivyo.Mungu akubariki kwa kuwa rafiki mwema kwa...
takeer.com
@machinga_wakichaga
Hongera mpendwa wangu.Najua haikuwa rahisi nafahamu haijawa nyepesi ni kwamba ulipambana kuwa hvyo ulivyo.Mungu akubariki kwa kuwa rafiki mwema kwangu.ulikuwa dada kwa wakati mwngine msiri wangu najihisi kuumia ila furaha nilionayo juu ya hatua hyo uliopiga inazidi huzuni nilionayo.Asantee sana kwa kunipa muda wako na huruma yako.

Kokote utakoenda nitakuombea na kukutakia baraka na kila baya kukuepuka nenda mama ulivyofanikisha miaka hii mitatu ndivyo Mungu atakufanikishia kazini na utapata kazi.
Nakuon mbali sana mamaaa naliona lile jina langu la Bosslady linaenda kutimia kwako sasa ulinifanyia mengi niliokuombaa na sasa nakuomba ukatafute pesaa na usiache kumcha Mungu nakupenda sana @scola911
Mengine nitakueleza tukionana

Kila la kheri kipnz changu mm apa
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play