@malkia_quality_products
Ndio tumemaliza kwa leo tunaishia hapa kesho tutaendelea tulipoishia….
Malkia quality Dodoma hapo mwisho ni video ya foronya nzuri nzuri kesho nitazipost vzr ni nzuri mno mno…
Karibuni wateja wote wa Dodoma duka tumelijaza na vingine bado sijaweka ila mkija nitajitahidi kuwatolea vitu vzr vzr wateja wangu….
Tuna towels,pazia,mashuka,blankets,Duvets,foronya,softblankets,doormarts,pochi,mid heels,sandals,rugs,mito nk
Njoo tuongee biashara niwape mbinu zakuuza bidhaa zetu kwa bei zakiwinga na ww ukauze hizo nilizoweka ni sample tu wahi kabla maukali hayajaisha nawapenda sana sana.