Takeer
@viwanjatz
Tunawatakia watanzania wote heri ya kilele cha maonyesho ya kimataifa ya biashara (saba saba).
unaposherekea maonyesho haya fikiria uwekezaji wako kwenye ardhi.
#sabasabaday