takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@zeromoja_
BATHROBES/ MAKOTI Ya kuvaa ndani yenye material ya taulo

Hii imetengenezwa na VELOUR MATERIAL (60,000)

Ni material flani ipo soft sana na nakupatia joto zuri kwenye mwili

💥Huvaliwa baada ya kumaliza kuoga
💥Wakati wa kupata breakfast kwenye weekend zile
💥Ndani tu siku huendi kazini unapiga zako story na juice yako pembeni kibarazani labda(balcony) ama chumbani
💥Ukienda kuogelea ule muda tunapumzika toka kwny Maji unavaa hii
💥wakati wa ubaridi
💥ukiwa najiandaa unapata mafuta labda mwilini ama vipodozi uso I unakua umevaa hii

Zipo pia za TERRY MATERIAL (55,000/=)rangi tofauti tofauti

🇹🇿Vitu vingine Vya bafuni
TAULO
Taulo ya kuogea 70kwa140...35,000/= nyeupe 40,000
Taulo kubwa zaidi 85kwa165cm..........55,000/=
Bathrobes 55,000(Terry Material) 60,000(velor Material)
Bathrobes za watoto...40,000/=
Face towels... 3(20,000)=
Face towels nyeupe..3(25,000)
Safari towels.... 20,000/=..3(45,000)
Vya chumbani vidogo 6..10,000/=
Taulo za set nyeupe (3) 110,000/=
Taulo za set nyeupe (4) 120,000/=

🇹🇿Vitu vya Jikoni
Kitchen gloves...... 15,000 na 20,000
Kitchen Apron....... 15,000
Multipurpose buskets15,000 na 20,000
Handwoven rugs.......15,000 na 25,000
Potholders(5).............20,000
Yellow dusters(10)......20,000
Table mats(2)..............15,000

🇹🇿Vya chumbani
Shuka2 foronya 4...150,000 na 250,000
Shuka1 duvet cover1 Foronya4.. 180,000 na 280,000
Mito ya kulalia mmoja 45,000/=
Duvet nyeupe(240kwa260cm).... 150,000/=

0658 906 663

📌Tunapatikana mbezibeach chini Bara Bara ya Mwai Kibaki Karibu na sheli ya Oryx, Opposite Mbezibeach primary school

Free delivery in Dar 💃
Mikoani tunatuma pia 🥰

FREE DELIVERY 🚚
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com