@halimacollectiontz
Raha ya hii snail bana ukutane na og nyiee utaipenda ngozi yako 👌unateleza ngozi kama mtoto yani ukitumia hii utasahau mambo ya kupaka mekap bila sababu ,ngozi ya uso muda wote inateleza tu 👌wale wwnye oily skin hii pia inakufaa vizuri snaaa 🙌🏻