@dotcomachinery
OIL TRANSFER PUMP.
Hii ni pump ya 12v inatumia umeme wa battery ya gari kuhamisha oil kutoka sehemu moja kwenda ingine, nzuri sana kwa watu wa service kutoa oil kwaajili ya service, na unaweza kutumia kuhamisha Oil au Diesel au petrol.
✅ Bei ni 180,000
Call / Whatsapp 0718 121 111
0676 024 545
www.dotcomachinery.co.tz
______________________________________________________
Junction of Morogoro road & India street,
Dar es Salaam.