takeer.com

Takeer

Takeer - Habari Njema kwa  .

Kuanzia Sasa Unaweza Kununua bdhaa mbalimbali za electronics na accessories mbalimbali kutoka  kwa kulipia kidogo kidogo kuanz...
takeer.com
@jobarnstore
Habari Njema kwa #WaSwahilies .

Kuanzia Sasa Unaweza Kununua bdhaa mbalimbali za electronics na accessories mbalimbali kutoka @jobarnstore kwa kulipia kidogo kidogo kuanzia shilingi elfu moja na kuendelea kupitia Swahilies. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua bidhaa Yako pendwa toka kwao Kisha ukaanza kuilipia kidogo kidogo kupitia Swahilies.

Kuna mfanyabiashara hajajiunga na Swahilies na ungependa ajiunge Ili uweze kununua bidhaa zake kwa kulilipia kidogo kidogo kupitia Swahilies? Mtag hapo chini Ili tumuunganishe.

#anzamdogomdogo #AnzaNaSwahilies
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com