@dotcomachinery
CAR DENT PULLER
Hiki ni kifaa chakuvutia body ikiwa imetokea imebonyea yaani kama mtu kaegemea limebonyea unaweka hio unavuta inakuwa kama mwanzo na ni cha aluminium madhubuti na muhimu kuwa nacho kwa kila mwenye gari au mwenye car wash.
✅ PRICE 35,000/=
Call / Whatsapp 0718 121 111
0676 024 545
www.dotcomachinery.co.tz
______________________________________________________
Junction of Morogoro road & India street,
Dar es Salaam.