@topfitness_tz
Orbitrac machine
750,000
0762391169
Ni kifaa kinachokuwezesha kufanya mazoezi ya mwili mzima kuanzia mikono had miguu
Kwa kutumia kifaa hiki
Utapunguza mwili uliokithiri
Utaondoa nyamazembe zote
Utaondoa nyama za mikono zinazoninginia
Utaondoa nyama za pembeni ya tumbo
Utumiapo kifaa hiki kitakuonesha
Kiwango cha mafuta yanayopungua mwilini
Mda unaotumia
Umbali
Tunafanya delivery kwa wateja wa dar es salaam
Mikoani tunatuma