@zeromoja_
FACE TOWELS/TAULO ZA USONI pekee 👌
Kuna wateja wetu wametuambia kua wao ua hawapendi kuchanganya taulo la Mwilini akafutia USONI
Mwilini kuna Bakteria wa kutosha na unaweza kupata hata chunusi ama ukashindwa kuglow yani mradi tu uso usiwe na heri na usijue sababu 😅🙈
Taulo za Uso (33kwa33cm)
25,000/=
Set ya taulo 3
Pia tuna,
MULTIPURPOSE BUSKETS /VIKAPU vya matumizi mbali mbali
Vidogo 15,000/=(hivi kwny post ni vikubwa)
Vikubwa 20,000/=
Hii ni kwa ajili ya kuorganise vitu jikoni ama chumbani ama bafuni
💥Jikoni/dinning
Unaweza kuweka matunda, funguo, Tissues, ama viurembo kwenye console table
💥Bafuni
Unaweza kuarrange vitaulo(face towels) toilet papers vifaa vya usafi
💥Chumbani
Unaweza kuarrange (underwear) boxers na soksi za baba😉
Kuarrange cosmetics kwenye dressing table
Vikorokoro vidogo vidogo
📌Tunapatikana mbezibeach chini Bara Bara ya Mwai Kibaki Karibu na sheli ya Oryx, Opposite Mbezibeach primary school
Karibu sana. 0658906663
Bila kupitwa na OFA yetu kabambe ya FREE DELIVERY in Dar 💃
#kitchengloves #kitchentowels #potholders #kitchenrugs #tablecloths #tablemats #kitchenapron