@juliana_starlook
Achana na huo upepo unaonisumbua hapo zingatia ukali wa nguo hii. Wale msiopenda kubanwa banwa, vibonge,mama k, wembamba wooote inawafaa hii gauni ni nzuri mnooooo unaivaa popote pale haichagui
Tsh 35000
Ina material shifon quality unjanja kuwahi
Size L XL XXL
Tupo kariakoo mtaa wa narung’ombe na Congo jengo la Mandela jr pandisha ngazi duka la pili kushoto
Dar Tunafanya delivery kwa haraka
Mkoani tunatuma kwa gharama ya mteja
Follow page yetu kujionea vitu Vizuri zaidi