@house_of_slimfitshirts
*TUPO SINZA KUMEKUCHA upande wa Kanisa la KKKT. *
📍 Ingia rough Road ya kanisani
Geti la 1 ni la kanisani,
Geti la 2 ni la shule (DIS)
Mwish wa ukuta wa shule kuna kona/Mtaa unaingia upandewako huo huo
Ukiingia tu Mwanzoni kabisa utaon duka la nguo, UMEFIKA.
Karib sn.