@dig4max_shop
August big offer π₯π₯π₯π₯
Bei 290,000 tsh
Bill counter machine
Ina speed nzuri mno ambayo inakusaidia kuondoa folen ofisin kwako.
Inakusaidia kuesabu note nyingi kwa wakati mmoja na kwa usahihi zaidi.
Ina kusaidia kudetect Note fake bila kupitisha kabsa
Ina warranty ya mwaka 1.
Inauwezo wakuesabu note za kigeni kama dollar, Euro nk.
Quality brand (Digimax)
Delivery Tanzania nzima
Call,sms, what's app
0747138367