@ob_mitumba_store_
BEI YA BALO ZA NGUO NYEPESI ZA WATOTO TULIZONAZO ( nguo NYEPESI maana yake ni hizi za kawaida za kila siku mfano magauni , sketi , shati , tisheti n.k na NZITO ni zile za baridi mfano masweta , makoti , traki nzito n.k )
-
Zinakua mchanganyiko za KIKE NA ZA KIUME na ni nguo aina zote za juu na aina zote za chini
-
Aya tuanze balo la 400,000/= sifa ya hii inatoa nguo nyingi za miaka 0 hadi 10 idadi 300-350 LA CHINA (CCR) hii popote unauza especially kwa wateja wale wa hali ya kawaida kimaisha ndio faida pia utapata au ukipeleleka kuuza minadani , masokoni basi kwa uzuri wake unauza bila kutoka jasho
-
ipo ya 590,000 hii pia ni grade one na ni nzuri tu kwa mtu mwenye wateja wa 5000-4000-6000π€idadi 300-350 umri wake 0 hadi miaka 5 LA DUBAI
-
Pia la uturuki 600,000/= lipo inatoa nguo 350+ unaweza kuuza 500 - 10000 LA UTURUKI (BABY LIGHT) manake zile za wachanga nakuendelea
-
Balo la canada / UK bei moja la 700,000/= pc 350+ mwaka 0-8 (baby light) pia nzuri sana hiliii unauza bila preshaaaa hawa jamaa nguo za nzuri kwa kuuzia dukani , mnadani , sokoni n.k (BABY LIGHT) manake zile za wachanga na kuendelea
-
Pia kuna la 650,000/= la canada miaka 3 hadi miaka 15 linatoaa idadi 300-350 (CHILDREN RUMMAGE) humu hupati za vichanga kabisa
-
Ya pia tunayo ni ya 750,000 ya canada hii inakua na nguo 350-400 watoto umri 0-8 tu ni nzuri pia unapata faida safiπ na la LA UK (CCR) pia bei moja
-
NA ZINGINE NYINGI #MAELEZO NI MAREFU NITAENDELEAA POST INAYOFATAπ