@ob_mitumba_store_
Uzoefu wetu katika belo za mitumba ndio umetufanya tuwe suluhisho la wauza mitumba wote TANZANIA 🇹🇿
Sisi OB MITUMBA tunajua ni beli ipi na ya nchi gani itakupa nguo nzuri na zinazoendana na soko la eneo ulipo, kuanzia size, idadi mpaka ushauri wa bei ili uweze kukuza biashara yako , ULIZA CHOCHOTE USHAURI NI BURE
-
@ob_mitumba_store_
📍Ilala boma sokoni , karibu na sheli ya puma
☎️0654465202
-
Disclaimer 🚫 : This page does Not affiliated with any brand involved in the video